iqna

IQNA

mashindano yakimataifa ya qurani
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
KUALA LUMPUR (IQNA) Mashindano ya 63 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia yalianza rasmi Jumamosi usiku katika mji wa Kuala Lumpur.
Habari ID: 3477467    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/20

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo fainali yake imefanyika wiki hii kwa kuhudhuriwa na washiriki 52 kutoka nchi 33, wametangazwa ambapo mwakilishi wa Kenya ameshika nafasi ya pili katika kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476605    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/22

TEHRAN (IQNA) - Kwa mujibu wa maafisa, washiriki 41 kutoka nchi 31 wamepangwa kushiriki katika duru ya mwisho ya toleo la 62 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia.
Habari ID: 3475896    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/08

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Duru ya awali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran itafanyika katika mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3475736    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/05